channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Extra

160VarietyPG13

Katika Headquarter ya Umbea, ni Tanasha na Diamond! – Shilawadu Xtra

Video
15 Mei

@tanashadonna âmetimua kwenye kurasa za instagram kubishana na walioshambulia maisha yake ya undani, yani, bedroom matters! Amewajibu kwa kweli swala kuhusu uzembe wake kitandani na kadhalika! Ulikosa kipindi? Vuta kiti ndugu! Umbea ndio huu!