channel logo dark
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Brown hapatikani-Kapuni

Video
08 Septemba

Wiki hii Kwenye #KAPUNITZ, Hatimaye tunamzika Jackie , lakini yaliojiri hatukuyategemea, Brown kapotea yupo kwa Joyce, Reacho na familia huzuni unatanad, Matilda yeye yake umbea tu, Anangisye anamkana Bube , Brown ana amka anajikuta kwa Joyce je kitakacho endelea ni nini? Tukutane tena wiki ijayo kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose !……