channel logo dark
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160DramaPG13

Mapenzi na utamu wa ndoa- Rebeca

Video
04 Septemba

Wiki hii kwenye #REBECATZ Linda amkaribisha Kenzo kwake, Je mahusiano ya hawa wawili yatafika wapii? Lisa asiye shindwa kasema Daniel lazima awe wake matusi yanazidishwa kwa Rebeca, Caren anajariu kumshauri Doris kuhusu mapenzi na utamu wa ndoa je Doris atabadili msimamo? usikose #REBECATZ Jumatatu hadi Jumanne saa 1:30 Usiku kupitia DStv160 pekee!