channel logo dark
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Mgeni hataki kumuona Carlos wala Sidi- Huba

Video
22 Novemba

Wikii hii kwenye #Huba, Mafahali wawili katu hawawezi kuishi zizi moja na ndio hali ya Mgeni, Sidi na Carlos , Hospitali vs Uchawi ndio situation ya Nandy na . Idris ameachwa na mawazo chungu nzima Doris nae anamuahidi Roy hatakaa na mwanamke mwingine zaidi yake Ungalia Higlights hapa #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku