channel logo dark
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Mapenzi , usaliti na vurugu – Huba

Video
11 Oktoba

Wikii hii kwenye #HUBATZ mambo ni moto!! Charlie na vitisho kwa Doris, Jude mapenzi yamvuruga, Nyumba na Mali za Tesa zauzwa. Nia ya Bi Sikitu ni nini haswa, na je Tima atamchagua nani?