channel logo dark
Doli slim billboard
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13

Ujio wa Devy/Idris- Huba

Video
13 Septemba

Wiki hii Kwenye #HUBATZ , Kwa mshangao mkubwa, Idris kaibuka mshindi wa mashindano ya Kampuni, Ujio wa Devi wamshtua Kibibi hadi kuzirahi, Tesa naye machozi chungu nzima, atalia na nani? Usikose kuwa nasi kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku,marudio Jumamosi saa 10, Usikose!