channel logo dark
Doli slim billboard
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13

Safari ya Mjini- Huba

Video
06 Septemba

#HUBATZ ya wiki hii mambo yakilkua hivi, Idris Rani Ruki na chidi wamefika mjini Tesa bado anashikilia mipango yake na Sidi, Makampuni yanajiandaa kwa ajili ya mpambano Bi Sikitu bado hajaacha kumchachafya Doris na safari hii kamtuma Barbra , Je ni nini kitaendela? Tukutane wiki ijayo muda Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku kupitia Dstv160 pekee na usikose marudio kila Jumamosi kuanzia saa 10:30