channel logo dark
Nyavu Slim BB
channel logo dark

Nyavu

160Drama16

Msimu wa kwanza! – Nyavu

Video
04 Mei

Tino aka Stoni, mshkaji anajikuta kwenye dailema la manaa, je ni nini haswa kinamtokea? Baada ya kusubiri kwa hamu na gamu, tamthilia yetu mpya #NYAVUTZ inaanza LEO, saa 1.30 usiku! Ungana nasi katika kipindi cha kwanza hapa #MMBongo! Ni Yetu!