channel logo dark
Divas & Hustlas
channel logo dark

Divas And Hustlas

160Lifestyle16

Pata kujua wahusika wa "Divas and Hustlas" ndani ya Maisha Magic Bongo

Habari
12 Septemba 2024
Nana Dollz na Dolly Restie wajiunga na Divas & Hustlas
Article

Divas and Hustlas ni kipindi maarufu kinachorushwa na Maisha Magic Bongo, kinachoangazia maisha na changamoto za wabunifu katika tasnia ya burudani. Kipindi hiki kinaonyesha jinsi wanavyojitahidi kukuza brand zao huku wakikabiliana na matatizo mbalimbali katika maisha yao binafsi na ya kikazi.

Wahusika wakuu wa kipindi hiki ni pamoja na:

Chino

Mjasiriamali mwenye ndoto kubwa.

Rey Jones 

Msanii anayepambana kuimarisha jina lake.

Kontwana 

Mwanamitindo mwenye maono mapya.

Nana Dollz 

Mlimbwende anayejitahidi kupata umaarufu.

Kinata MC 

Rapper mwenye kipaji.

Dolly Restie 

Mwanamuziki mwenye sauti ya kipekee.

Kila mmoja wao ana ndoto na malengo tofauti, na kipindi hiki kinaonyesha safari zao za mafanikio na changamoto wanazokutana nazo. Angalia kipindi cha kwanza cha #MMBDivasAndHustlas:

Endelea kufuatilia kipindi cha Divas & Hustlas kila Alhamisi saa 1 usiku ndani ya DStv chaneli 160. Kwa habari zaidi na video za kipindi hiki, tembelea Divas and Hustlas - Maisha Magic Bongo.