channel logo dark
Nuru
channel logo dark

Nuru

160DramaPG13

Nuru kuisha tarehe 26 Julai – Maisha Magic Bongo

Habari
21 Julai 2024
Usikose finale ya tamthilia pendwa ya #MMBNuru Ijumaa hii
Nuru

Tangu mwanzo wa mwaka huu tamthilia pendwa ya Nuru imekuwa ikiburudisha watazamaji wetu. Kuanzia ndoa ya Rith ana Ronaldo ambayo haieleweki, Alice na Ritha kukutana, Mzee Andrew na mitego aliyowekewa na Adrian ndani  ya familia yake.

Finale ya msimu wa kwanza wa Nuru

Bado tunamaswahi mengi na usikose kufuatilia vipindi vya wiki hii kujua itakuaje?

Nuru
Finale ya msimu wa pili wa Nuru

Utaangalia finale ya msimu wa pili?

Ndiyo93%
Hapana7%

Usikose kuangalia #MMBNuru kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku ndani ya DStv chaneli 160!

Wiki iliyopita ndani ya Nuru: