Logo
Nuru
channel logo dark

Nuru

160DramaPG13

Ndoa ya Ritha na Ronald – Nuru

Habari
02 Julai 2024
Je ni bora Ritha na Ronald waachane au wazidi wapigania ndoa yao?
Nuru

Ronald na Ritha wamekuwa wakipenda lakini tatizo lilianza baada ya wazazi wa Ronald kufariki. Vifyo vya wazazi wa Ronald vilimuumiza sana Ronald na vilimfanya Ritha asimuone kama mwanaume. Baada yah apo, Ritha alianza mahusiano na Adrian, mfanyakazi mwenzake. Ronald alivyogudua, aliaamua pia kuanza mahusiano na Doreen, kulipiza kisasi.

Baada ya Ritha kugundua kwamba mume wake pia alianza mahusiano na mtu mwingine, aliomba msamaha na waliamua kusameheana. Tatizo lilikuja baada ya Naomi kumfuma John, mchumba wake na Alice, Alice amefanana sana na Ritha. Bila kujua kama alkuwa Alice, Naomi alimshitaki Ritha kwa Ronald na Ronald aliamua kutomuamini Ritha tena alirudi kwa Doreen.

Baada ya kufanya mpango wa kumuonyesha Ronald kwamba alikuwa anasema ukweli na Alice na Ritha ni watu tofauti Ritha hataki tena kufanya suluhisho na Ronald na ndoa yao iko mashakani.

Nuru
Ndoa ya Ritha na Ronald - Nuru

Je Ritha amsamehe Ronald?

Ndiyo63%
Hapana38%

Usikose kipindi cha #MMBNuru kila JUmatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku ndani ya DStv chaneli 160 pekee.