Serekali yatuletea tuzo za kwanza za filamu kupitia bodi ya filamu nchini Tanzania (Tanzania Film Festival Awards) na Maisha Magic Bongo yateuliwa kwenye vipingele 16 vya waigizaji na vipindi:
BEST ACTOR AUDIENCE CHOICE (MUIGIZAJI BORA WA KIUME KWA CHAGUO LA HADIRA) |
Mohamedy Kingara (Iddy Kapalata) - Jua Kali Seleman Barafu (Mudilee) - Slay Queen |
BEST ACTRESS AUDIENCE CHOICE (MUIGIZAJI BORA WA KIKE KWA CHAGUO LA HADIRA) |
Maria Mdee aka Mimi Mars (Maria George) - Jua Kali Mariam Ismail (Merry) - Slay Queen |
BEST SERIES (TAMTHILIA BORA) |
Slay Queen Jus Kali
|
BEST COMEDY (VICHEKESHO BORA) |
Kitimtim |
BEST SERIES COMEDY (ONLINE & TV) (TAMTHILIA BORA YA VICHEKESHO – MITANDAONI NA TV) |
Kitimtim
|
BEST ACTOR (MUIGIZAJI BORA WAKIUME) |
Jacob Steven (JB) - Slay Queen
|
BEST ACTRESS (MUIGIZAJI BORA WA KIKE) |
Godliver Gordian - Jua Kali
|
BEST COMEDIAN (MCHEKESHAJI BORA) |
Pili (Gladness Kifaluka) – Kitimtim
|
BEST SUPPORTING ACTRESS (MUIGIZAJI BORA WA KIKE ANAYESAIDIA) |
Hellen Herma - Jaa Kali |
BEST FEMALE DIRESTOR (MUONGOZAJI BORA WA FILAMU WA KIKE) |
Lamata Leah (Jua Kali) |
BEST PRODUCTION DESIGN
|
Jua Kali Slay Queen |
BEST SET DESIGN
|
Jua Kali Slay Queen |
BEST GRAPHIC DESIGN |
Jua Kali |
BEST EDITING
|
Jua Kali |
BEST MUSIC SCORE |
Jua Kali |
BEST COSTUME DESIGN |
Jua Kali |
Washabiki wanaweza kupiga katika vipengele tofauti kweye tovuti hii: https://filmboardawards2021.info/#/!
Maisha Magic Bongo inawatakia kuwapongeza wote walioteuliwa!