Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amewahakikishia wadau wa sekta zilizo chini ya wizara yake ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha ukuaji thabiti wa sekta hizo na kuongeza mchango wake katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
PICHA: WAZIRI BASHUNGWA ATUA DStv TANZANIA!