maisha magic bongo logo
Yalaiti HDtv 1920x1080

Misa aendelea kumlilia Derrick – Karma

Video
05 Novemba

Misa bado yuko kwenye maombolezi baada ya kuachwa na Derrick. Lorenzo aonywa na baba yake na Chama achoka nae. Derrick amwambia Dr Desire kuhusu hisia zake.