maisha magic bongo logo
Yalaiti HDtv 1920x1080

Kibibi adai heshima yake – Huba

Video
21 Decemba

Jude ajifunza kwamba Kibibi amerudi, na pia Kibibi akutana na Tesa mjini. Sada anamlauumu Yukubu na Nandy kwa kutekwa na Konde. Kashaulo amleta mchepuko wake dukani kwa Sidi.