Mrs. Brown ni Msomi na mama bora wa familia yake. Changamoto ni kwamba hana maamuzi lakini, anakumbwa na siri nzito inayomtafuna. Ni mwanamke mpole mwenye mapenzi ya kweli.