channel logo dark
Nyavu Slim BB
channel logo dark

Nyavu

160Drama16

Shani na Siti wantiliwa sumu! – Nyavu

Video
25 Juni

Heri anamtolea Mke wake ukweli kinagaubaga kuhusu kuwa Baba Mzazi wa Fifi. Huku, Shani na Sidi wametiliwa Sumu, Stoni amewakuta wakiwa mahututi! Jamani, watanusurika?