channel logo dark
Nyavu Slim BB
channel logo dark

Nyavu

160Drama16

Hasira za Ida na Bi Lena! – Nyavu

Video
01 Juni

Ida anagundua kwamba Fifi amepata kazi katika ofisi ya Heri! Huku, katika boma ya Bwana Heri, kumechacha! Bi Lena amepandwa na hasira, ugomvi kati yake na dada yake yamefika kilele! Ilikuwaje? Hasira ni hasara Jameni!