Wiki hii Bi Mariam wa Migomba anatushauri haya kuhusu ndoa, mambo yakiwa mazuri au mabaya tujaribu kutowashirikisha Watoto kwenye ugomvi wa wazazi, anaendelea kugusia ya kwamba iwapo yatashindikana kabisa na kuamua kuachana basi na zile huduma na mapenzi kwa Watoto yasiwe ndio mwisho. Kama ulikosa kutazama huchachelewa usikose kwa nasi kila Jumatano saa 1 jioni.