channel logo dark
Kitimtim
channel logo dark

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Msauzi ataka utulivu– Kitimtim

Video
07 Decemba

Pili na Zunde wagombana juu ya kutoaminiana wakati Msauzi awafuma Zunde na Masantula wakiwa wanamsema. Hatimaye Msauzi anataka fujo zote ziishe, lakini Pili na Zuu wachana nguo zake.