Baada ya njama za Dazuu na Zunde za utekaji, ni kama Dazuu ametekwa! Ndugu yake, ametaabika sana, anataka kuripoti kesi ya kutoweka kwa Dazuu kwa polisi! Pili anampa mume wake ushauri wa busara lakini Tabu, ameleta ushauri wa kukimbilia waganga! LO! Ilikuwaje?