channel logo dark
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Sherehe na Sarakasi- Huba

Video
10 Juni

Wikii hii kwa #Huba ilikuwa ni sherehe na sarakasi, Mapacha wanatoana roho, Idris anakumbushwa kwamba ni dada zake, je ukweli ukigundulika itakuaje? Jude anapewa makavu na Tesa na Nandy anamiminywa na Kodi, je ni nini haswa kinaendela? #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku! Usikose Marudio Jumamosi saa 10