channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Jude anakuwa mkorofi kwa Kibibi – Huba

Video
22 Januari

Jude amkuta Kibibi kwenye spa yake akiwa anafanya promotion ya Tecno, na Doris ajificha akiwaona wanaongea. Carlos na Sidi waendelea kuwa kama wapenzi na Kashaulo awakuta bar na akasirika sababu wanatumia pesa zake. Tima na Devi wa jiandaa kwa safari.