Logo
Divas & Hustlas
channel logo dark

Divas And Hustlas

160Lifestyle16

Misemo ya Divas & Hustlas - Maisha Magic Bongo

Habari
01 Agosti 2023
Nani kasema nini?
Article

Malkia Karen

"Mwanamuziki, malkia wa vocals, mama na mfanya biashara"

 

Kontawa

"Mziki ndio dunia yangu, nakomaa na game"

 

Zee Cuty

"Napenda maisha yangu sio fake, I like being me!"

 

Kinata, MC

"Uswahilini ndio kambini kwangu, singeli fahari yangu"

 

Reyjones

"Mpambanaji, kwenye mishe zangu sitaki utani nakua kama chui"

 

Chino Kidd

"upendo mafanikio na amani ndio nguzo zangu"

 

Kumbuka kufuatilia #MMBDivasAndHustlas kila Alhamisi saa 1 usiku ndani ya DStv chaneli 160!