channel logo dark
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kifo cha Angel: Unamlaumu nani? – Huba

Habari
06 Septemba 2024
Baada ya Chidi kumchua Angel uswazi mambo yaishia vibaya.
Huba

Kabla ya Kibibi kuwa tajiri, alikuwa mfanya kazi wa Tesa pamoja na Chidi.Ndani ya mahusiano yao, alibeba ujauzito na kuzaa Angel. Ingawa Kibibi ni katili hakuna mtu anayempenda zaidi ya Angel.

Baada ya kuachana na Devi, aliamua kurudiana tena na Chidi. Mwanzoni mahusiano yao yalikuwa mazuri lakin siku hizi hawapatani kabisa. Baada ya Abby kupata msiba, Chidi aliamua kumpeleka Angel kwenye msiba bila kupata ruhusa ya Kibibi nah apo ndipo majanga yalivyotokea.

Je ni nani wa kulaumia kwenye hili jambo?

Kifo cha Angel - Huba

Unamlaumu nani?

Click here to make your selection
Huba
Kibibi
Huba
Chidi
Hamna wakumlaumu

Usikose kipindi cha #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.