Katika Headquarter ya Umbea, ni Tanasha na Diamond! – Shilawadu Xtra@tanashadonna âmetimua kwenye kurasa za instagram kubishana na walioshambulia maisha yake ya undani, yani, bedroom matters! Amewajibu kwa kweli swala kuhusu uzembe wake kitandani na kadhalika! Ulikosa kipindi? Vuta kiti ndugu! Umbea ndio huu!