maisha magic bongo logo

Filamu mpya ndani ya Maisha Magic Movies Julai hii!

Habari
01 Julai 2023
Jiunge nasi kila Jumamosi saa 2 usiku kwa filamu mpya!
mmm

Kuanzia tarehe 1 Julai, tunakuletea filamu mpya kila Jumamosi saa 2 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Movies. Soma hapo chini kwa zaidi

1 Julai – Kasozi Heights

Mhasibu anayehangaika apandishwa cheo kikubwa kazini, ambacho kinamuwezesha kuhamisha familia kwenye nyumba ya kifahari ndani ya Kasozi Heights. Lakini siri huanza kufumbuliwa.

8 Julai – Nyakio my love

Muchemi, kijana anayefanya kazi kwa bidi shambani aanza mahusiano ya kimapenzi mwanamke anayemzidi umri na pia aliyewahi kuachika na bwana yake kabla.

15 Julai – Sozi

22 Julai – Twine is missing

Mtaalamu wa Uchukuzi na Usafirishaji aliyejiajiri arudi Kampala kuchua watoto wake kwa nia ya kuishi nao kutoka kwa mpenzi wake lakini akaishia kupotea.

29 Julai – The Caller

Baada ya kuumbua siri ya mke aliyekuwa akichepuka kwa mume wake, mtangazaji wa radio alazimishwa kujaribu kuongea na askari mwenye hasira ili asiue mke wake na Watoto hewani.

Kumbuka kuangalia filamu mpya kila Jumamosi saa 2 usiku na pia fuatilia filamu zote za Kiswahili tokea Tanzania 🇹🇿 kila Jumatatu na Ijumaa mchana! Tufuatilie ndani ya mistandao yetu ya Instagram, Facebook na Twitter kujua zaidi kuhusu hizi filamu!

Kwa zaidi: