channel logo dark
Kitimtim
channel logo dark

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Pili arudi kwa Zunde – Kitimtim

Video
27 Julai

Zunde agundua kwamba pili yupo kwa Msauzi na sasa anataka kununua bastola. Hili jambo la mpa Pili wasiwasi. Hatimaye Masantula agundua Pili alipo na amwomba Pili pesa ili anyamanze. Harafu Pili arudi nyumbani na akutana na mama yake.