channel logo dark
Kitimtim
channel logo dark

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Ahadi ni deni – Kitimtim

Video
11 Mei

Da Zuu na Zunde wapata jiwe na Da Zuu ahisi kama wamemdhurumu. Masantula aachiwa huru na aomba msamaha kwa Da Zuu. Baba mdogo afariki na pesa zote za jiwe za enda kwa mwanae Afrika Kusini, na mgeni mpya afika mjini.