channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Dr Temba apata ajali l– Jua Kali

Video
13 Agosti

Thomas na Stella watoka kanisani na Stella anataka kujua ni kwanini Maria alikataa kuvishwa pete. Sophia na kaka yake wamlazimisha mama yao kwenda hospitali. Hatimaye harusi ya Anna yafika na Dr Temba apata ajali. Michael na Mary wapata habari njema.