channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tesa hachezi- Huba

Video
16 Agosti

Wiki hii kwenye #hubatz, babake Nandy mji umemshida, Tesa hachezi na huba lake kwa Stano, kivuruge Kibibi na Chidy ndoa imekua kituko, Mgeni ,Carlos, Sidi na kashaulo kimewaka, Jude na Tima ndoa inanukia uhondo wa huba sio wa nchii hii .ni kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku na marudio jumamosi saa 10:30 jioni kupitia DStv 160 usikose!!