channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Regina arudi nyumbani – Pazia

Video
12 Mei

Regina atoka hospitali na ajui aende wapi. Eliza amtishia Henry na judge na pia kumwambia Gloria kwamba sio baba yake. Waridi ampeleka Edu nyumbani wakati Fred na Jemo warudishiwa pesa zao. Gloria aja kumuona Regina na Eliza amwambia Henry ana wiki moja ya kumpa talaka Miriam.