maisha magic bongo logo

Misa na Shami wakutana – Karma

Video
21 Decemba

Misa ajaribu kumuelezea Shami jinsi gani alivyomchua Derrick. Misa amwambia kwamba wanampenda Derrick na anaujauzito wake na Shami ampiga kofi. Moga azusha ugomvi na Kivu na mama yake.