channel logo dark
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Mahaba ya kupigania – Huba

Video
16 Julai

Fei amuonya Nelly juu yakuweka maisha yake kwenye mitandao ya jamii. Tima awambia Sidi na Happy kwamba Doris na mama yake wamerudi. Jude azidi ukaribu na Nicole na adai kumpenda. Fei adai kujua kwanini mama yake alimkimbia JB na Doris amlazimisha mama yake kumsaidia