channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kashaulo akatwa vidole – Huba

Video
20 Agosti

Bi Sikitu afanikiwa kwenye mambo yake. Kibibi aamua kumwacha Devi njiani na Kashaulo apewa onyo na Kibibi na Fabrizo. Tima aenda kumtembelea Devi. Baba yake Happy aiba pesa ya Nicole.