channel logo dark
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160Drama6

Haibu za Caren – Rebeca

Video
29 Mei

Huku Lulu amelewa chakali anamchamba baba mkwe, Daniel anakabiliwa na tuhuma za kutembea na Sakina .Kwingine Caren kapata picha za Kobana na Burushi, ataweza kuwakamata? #REBECA huko aliko akisikia haya itakuwaje? usikose kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usiku kupita