channel logo dark
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Femi apata mgeni – Jua Kali

Video
30 Aprili

Linda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.