DR John Samwel Malecela Waziri Mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ana mengi ya kutueleza, harakati zake na wenzake katika kugombania uhuru wa nchi yetu, historia yake katika masomo na mambo ya siasa
Usikose Maisha Yangu kila Jumapili saa 1 Usiku