channel logo dark
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Dev anamfukuza Jude, Tima na Mgeni wanapanga visit! – HUBA

Video
22 Mei

Baada ya Roy kumchochea Dev, Jude anapata chamtema kuni! Amesimamishwa kazi na kutolewa kwa nguvu kutoka Fuli Gemstones. Mgeni anamshauri Tima watakuwa hatua kwa hatua wakienda kumpokea mwanawe. Batuli anaendelea kumsaidia Jude. TAZAMA!