channel logo dark
kapuni
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Brown amtisha Robert – Kapuni

Video
17 Novemba

Kwenye Kapuni wikii hii, Brown anam Tisha Robert achane na Rachel na akae mbali na familia yake . Je Robert atazingatia hayo? Brown anajuta makossa yake na kumuomba John msamaha. Usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumapili saa 7 mchana kupitia DStv160 pekee