channel logo dark
channel logo dark

Yolanda

160DramaPG13

Vipindi vilivyopita vya #MMBYolanda

Habari
01 Agosti 2024
Kama ulikosa mwanzo wa Yolanda soma matukio makubwa yaliyotokea ndani ya wiki ya kwanza!
Yolanda

Kipindi cha kwanza: Uwani kwa kina Yolanda

Yolanda anamsema venny kwa hasira kutokana na venny kutoona thamani ya kazi yake ambayo anaifanya

Kipindi cha pili:  Nyumbani kwa Mr. James

Mr.  James anaamua kumwambia  lucy kwamba kuna mambo hayapo sawa ofisini na Michael hampati kwenye simu, hivyo anaona ni vema awahi ili kujua tatizo ni nini.

Kipindi cha tatu: Nyumbani kwa kina Yolanda

Bi. Anna mama mlemavu wa macho anamwambia Yolanda kwamba hakutaka kabisa kushiriki katika huo mpango wao. Mzee Majaliwa anamjibu bi. Anna kwa dharau kitendo ambacho kinamkera venny na kuamua kumbwatukia baba yake.

Usikose vipindi vya #MMBYolanda kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1 usiku ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo. Kwa zaidi: