Tangu Abby alivyoingia ndani ya #MMBHuba, amewapa wadada wengi motisha ya kuanza kufanya mazoezi ya mwili. Haswa Tima na Doris wamaeamua kuanza mazoezi kwa kasi sana , na hizi ndizo vifaa vyao muhimu wakiwa mazoezini.
- Simu
Ni vyema ukiwa mazoezini kuwa na kiburudisho kidogo , warembo hawa wanatumia simu kusikiliza muziki pamaoja na kupiga picha na video mbali mbali ,
2.Taulo
Mazoezi yanaweza kumfanya mtu atoke na jasho sana, na taulo ni kitu ambacho kitakusaidia kufuta jasho iliuendelee kuwa freshi wakati wa kufanya mazoezi.
3.Nguo za mazoezi
Hauwezi kuvaa nguo zozote tuu ukiwa unafanya mazoezi, ni lazima uonekane vizuri lakini pia uvae nguo ambazo utakuwa huru kupambana na purukushani za mazoezi.
4. Chupa ya maji
Maji ni kinywaji pekee muhimu sana mua wa mazoezi, mikiki mikiki ya mazoezi zina leta kiu na jasho , hivyo maji ni kitu muhimu sana .
5. Begi
Hivi vitu vyote utakavyo chukua ni lazima kuwe na sehemu ya kuviweka. Usisahau kununua begi nzuri ya mazoezi ya kubebea vitu vyako.
Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBHuba kujua Abby ataishia na Doris ama Tima. Jiunge nasi kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku na jiunganishe na #MyDStv App kwa mengi zaidi.