channel logo dark
channel logo dark

The Boy

160DramaPG13

Sababu tano za kuangalia “The Boy” – Maisha Magic Bongo

Habari
14 Agosti 2024
Washabiki wa Maisha Magic Bongo wamekuwa wakipenda kipindi kipya cha asili ya Kituruki ndani ya DStv.
The Boy

Tamthilia mpya ya The Boy inafuatilia binti Zumrut anaye lazimishwa kuolewa na mjomba wake, baada ya kifo cha mpenzi wake. Haya maamuzi yasababisha utata kwenye maisha yake.

1. Sababu ya kufurahia kurudi nyumbani

2. Historia ya kipekee

3. Saa moja haitoshi

4. Mafundisho mengi

5. Ina uhalisia

Kumbuka kufuatilia tamthilia hii kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 12 jioni ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo.