channel logo dark
channel logo dark

Date My Family Tanzania

160Uhalisia16

Vitu vinavyo vunja mipango kwenye mahusiano ya mapenzi - Date My Family Tanzania

Habari
30 Oktoba 2020
Tangu mwanzo wa Date My Family Tanzania tumeona vitu vingi ambavyo mabachelawetu nasema kwamba kwao ni vitu ambavyo hawawezi kuvumilia kwenye mahusiano yakimapenzi. Hapa chini tumeweka listi ya baadhi ya hivi vitu:
mb dmftanzania s2 20201106 DATEMYFAMILYTANZANIA 02 0006

1. Kabila la mtu

Watu wengi hawapendi kuwa na mahusiano au kuoa/kuolewa na mtu wa kabila tofauti. Lakini tumeweza kuona jinsi kubadirisha mawazo na watu tofauti linaweza kubarisha fikra ya mtu na anaweza ku angalia makabila mengine zaidi kwa mfano Mariam S1 Ep

2. Kazi ya mtu

Ni rahisi kumchagua mtu kwa kutokea na kazi yake ukidhani kwamba kuna pesa nyingi. Kwa sababu hiyo, watu wengi wanaweza kumuhukumu mtu kwa kuuliza tuu ni kazi gani wanafanya na kwa jibu hilo tuu wanakukataa mapenzi na mtu. Kwa mfano Catherine akutana na msusi wa nywele, Unono, na akampenda.

3. Familia ya mtu

Kama unataka kuwa na mtu kwa maisha yako yote, ni vyema kupatana na familia yake kwa sababu na wewe pia unategemea kuwa ndani ya familia yake. Kwa mfano wa Kendric na Angela

4. Dini

Dini ya mtu ni kitu muhimu sana kwa mtu, kuna dini nyingi na jinsi ya mtu anvyo abudu inaweza kuleta matatizo kwenye mahusiano kama hampatani. Kwa mfano Abraham ni Mueslamu na Zawiya ni Mkristo.

5. Umri

Kuna wengine wanapenda wapenzi wanaowazidi umri wa wengine wanapenda

kumzidi mpenzi wao umri. Chocho unachopenda ili mradi tuu muwe mnafuata seria

Usikose kupata burudani za Date My Family Tanzania kila Alhamisi saa 1:30 ndani

ya Maisha magic Bongo channel 160