maisha magic bongo logo
Yalaiti HDtv 1920x1080

Chama avishwa pete – Karma

Video
28 Oktoba

Baba yake Lorenzo amvisha pete Chama. Kivu na mama yake wapigana tena baada ya kufumwa akivuta sigara na adai mtoto wake. Desire arudi nyumbani kumtembelea mama yake.