channel logo dark
rebeca
channel logo dark

Rebeca

160DramaPG13

Majozi ya furaha – Rebeca

Video
20 Juni

#Rebeca wiki mambo yamechacha. Lulu kamvua nguo Mike mbele ya marafiki wake, Sakina ameamua kutafuta suluhu la ex wake Mzee kambona anazidi kutereza, kwenye msiba wa Rebeca majozi yageuka kuwa furaha, ambapo Rebeca anatokea/anafufuka. Je Maisha itakuwa vipi sasa? #REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10