channel logo dark
Pazia
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Hali ya Edu ya zidi kuwa mbaya – Pazia

Video
05 Mei

Hali ya Edu yazidi kuwa Maya na apoteza kuongea na kuona. Fred amtimua Henry akidai kwamba sio Juma Mdudu na Eliza amfukuza Mdoe. Latifa afukuzwa nyumbani na Glory apanga mpango wa kumuweka Henry.