channel logo dark
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Brenda yupo wapi? – Pazia

Video
27 Oktoba

Ben aomba pesa zake kwa bosi wake na wampunguzia pesa. Wakati Brenda bado hapatikani na rafiki yake Siti aomba kukaa kwa Fred. Miriam na Mdoe waenda kumtembelea Eliza hospitali.