channel logo dark
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Ujauzito wa miezi miwili? – Pazia

Video
10 Machi

Eliza akasirika baada yakusikia Gloria amerudi nyumbani kwa Henry. Regina agundua kwamba mimba yake ina muda kidogo na amwomba daktari asimwabie Edu. Regina arudi kwa Fred kujua ni kwanini ana mimba ya miezi miwili na Fred amfuata Dr Love anaye dai kwamba Jemo ndiye muhusika.