channel logo dark
Nyavu Slim BB
channel logo dark

Nyavu

160Drama16

Shaka, Heri, Dina na Fifi Katika mpangilio wa Bi Lena! – Nyavu

Video
20 Mei

Katika mipango ya Heri kuhusu Ida, anasababisha Shaka kutekwa nyara na kupewa kazi ili Awache tabia zake duni za ulevi na kuhangaisha jamii. Stoni anajaribu kumshawishi Fifi akiogopa sana hasira zake. Dina anawapata wakijadiliana!